KARIBU TENA

KARIBU TENA

Saturday, July 2, 2022

Unataka kqzi na hujui ufanye Nini?

🇹🇿kesho ya mwanao ipo mikononi mwako embu msikilize anataka Nini anapenda Nini ili umsaidie kufikia ndoto yake, unajua anapenda zaidi Nini? Anapenda zaidi Urembo huyo ni nyota wa kesho kwenye Sanaa ya Urembo 0754818847 mlete tumfundishe kwa vitendo wakati wa likizo usimwache abweteke nyumbani👌👌🇹🇿
Je unataka kazi ya saloon na huna ujuzi njoo mamap_beauty_training ndiyo jibu lako tumebakiwa na nafas chache mzazi,mlenzi mletete mwanao nafasi ni chache njoo ujisajili ili ujifunze kwa vitendo zaidi🔥wale watakao fanya vizuri tutawatafutia ajira moja kwa moja🥰
🥰sifa za mwombaji uwe unapenda kwa dhati urembo👌
😍Uwe tayari kujifunza na kusikiliza maelekezo.
😍Uwe tayari kutumia muda wako wa ziada kufanya mazoezi 
😍hata kama haujui kusoma wala kuandika tutakusaidia kufikia ndiyo yako 
 🥰Umri kuanzia miaka 16 Hadi 65 njoo 
😜
TUNAFUNDISHA
 KUSUKA MITINDO MBALIMBALI
_STYLE ZOTE ZINAZOTAMBA _KUPAMBA MAHARUSI
_KUFUNGA MALEMBA
_KUWEKA DAWA ZA NYWELE
_KUBANA STAYLE ZA NYWELE
_MIRIJA NA FINGERS COIL
_KUSHONA MAWIGI
_KUTENGENEZA VIBANIO
_HAND DRY
_KUPASI NYWELE
_KNOTLESS
_NUTURAL CROCHET
_HATA KAMA HUJUI KABISA KUSUKA UKIJA HAPA UTAJUA KUSUKA MITINDO YOTE TUNA MBINU ZA KIPEKEE ZA UFUNDISHAJI
_ADA YETU NI LAKI TANO MIEZI MITATU

🥰_NB TUNATOA MAFUNZO YA MASSAGES, (SWAHILI SINGO)WAX, KUCHA ZA UNGA, KAWAIDA,JELY KWA UJUMLA,.
ADA YAKE LAKI MBILI MWEZI MMOJA HILI NI DARASA PENDWA.

🥰KUSUKA TU MWEZI MMOJA MITINDO MBALIMBALI LAKI MOJA NA ELFU 70 TU 

MAFUNZO NI KWA VITENDO 

TUNA HOSTEL KWA WANAFUNZI WANAOTOKA MIKOANI

LAKI MOJA KWA MWEZI,MAJI,UMEME,KITANDA,GODORO,VIFAA VYA KUFANYIA MAZOEZI HOSTEL FREE
 
Tupo Tabata Segerea Kituo Mangumi njia ya Saibaba
📞 0754818847 njoo WhatsApp huduma zote tunatoa kusuka kupamba maharusi nanousukq nywele mitindo yote njoo tukuhudumie hutojutia saa za kazi saa tatu asubuhi Hadi saa mbili usiku
#college #betawards #beautifuldestinations #beautifulgirls #beautiful #college #zanzibar #bellanaijaweddings #beautyphotography #getinmybelly #weekendvibes #weddingdress #wemasepetu #weddingcake #havana #çukur #chinaweddingdress #weddingafrica #weddingkenya #weddingzimbabwe #rwandawedding

jifunze ususi na Urembo utembee kifua mbele na ujikwamue kiuchumi.

Sunday, May 10, 2020

Kujiajiri ni muhimu Sana ususi unalipa

tujikinge na corona 😘 Embu mfollow  @mamap_beauty_makeup  Instagram

hakika tumedhaminiria kukuwezesha mwanamke ewe Mzazi mlenzi mwezeshe mwanao ajifunze kusuka mitindo yote nakupamba maharusi  pamoja na kufunga malemba,huduma kwa wateja, tupo Tabata segerea kituo mangumi njia ya saibaba
📞 0754818847 njoo WhatsApp

Ukijigunza unaweza kuwa Msusi mzuri sana

tujikinge na corona 😘 Embu mfollow  @mamap_beauty_makeup  Instagram
hakika tumedhaminiria kukuwezesha mwanamke ewe Mzazi mlenzi mwezeshe mwanao ajifunze kusuka mitindo yote nakupamba maharusi  pamoja na kufunga malemba,huduma kwa wateja, tupo Tabata segerea kituo mangumi njia ya saibaba
📞 0754818847 njoo WhatsApp

Usus was nywele ni ajira ya uhakika

tujikinge na corona 😘 Embu mfollow  @mamap_beauty_makeup . hakika tumedhaminiria kukuwezesha mwanamke ewe Mzazi mlenzi mwezeshe mwanao ajifunze kusuka mitindo yote nakupamba maharusi  pamoja na kufunga malemba,huduma kwa wateja, tupo Tabata segerea kituo mangumi njia ya saibaba
📞 0754818847 njoo WhatsApp

Wednesday, August 17, 2016

Sunday, July 3, 2016

Ofa Ofa Ofa jipatie nywele original kwa bei nafuu

Karibu ujipatie nywele original Indian hear woman ni lain kama nywele zako, ni mzuri mno, zinasetika unaweza kupasi na hata kubadili rangi uipendayo wewe mwenyewe inchi 8, sh. 105, 000,inchi 10 sh.115, 000 inchi 12 sh. 135,000 inchi 14 sh. 155,000 zangi zilizopo ni Brown na Block 0754818847 karibu hii ni Ofa maluum ya sikuku wahi sasa maana siku ni chache. 

Ofa hii ni kwa ajili ya wanawake wote wanaojipenda na wanapenda vitu vizuri.

Nywele hii ni nzuri ajabu yaani ukishonea hakuna anayeweza kutambua kama siyo nywele yako kila mtu nzima akupongeze.

Tunapatikana makuburi karibu kanisa katoliki waslina nasi upendeze.

Monday, June 27, 2016

Mleye mtoto katika njia impasayo naye ataiacha hata uzeeni

Nashukuru Mungu kwa utukufu wake maana ni wengi walitamani kufika Muda huu lakini hajafika.

Wengine ni watoto wadogo, vijana na wazee tuliyowategemea kutupa ushauri katika masuala mbalimbali lakini Mungu amewapenda zaidi.

Inawezekana ni mama mjamzito amepoteza mtoto wake baada ya kujifungua yote tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kuwa kazi yake haina makosa.

Kutokana na ugumu wa maisha baadhi ya wazazi wamejikuta wakishindwa kutimiza wajibu wao kwa watoto wao na kuwaachia watu wengine au kwa lugha nyingine walimwengu.

Mtoto wa mwezio ni mwanao siyo wote wanaozingatia kauli hii na kuifanyia kazi, wengine huitumia kinyume.

Najua wewe mama na baba uko busy kuwatafutia watoto wako maisha bora Anza sasa kutenga Muda wa kukaa na kumsikiliza mwanao, nini anataka nini hataki amekutana na shida gani kisha msaidie kwa kumpa njia sahihi ya kupita ili kutimiza ndoto yake.

Kwa kufanya hivi unajua Mengi anayokutana nayo, Mimi hapendi kumwambia mwanangu usimtendee mwezako ubaya maana Mungu hapendi, wengi wanaotenda mabaya ni watoto wa shetani.

Nimekuwa nikimfundisha mambo kadhaa na kuruhusu kuniuliza maswali kadhaa na la msingi husisitiza kushirikishana Mungu katika kila jambo analota kulifanya maishani mwake. 

Huu ni msingi mzuri naamini hata wewe ukifanya hivyo utakuwa na watoto wema wacha Mungu.

Nakushukuru wewe mzazi mwema unapitia makala hii ubarikiwe sana na Mungu akulindie watoto wako, kumbuka watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu itunze na kuipenda.

Thursday, June 23, 2016

Nakupongeza sana mwanazuoni mwezangu Grace Kihampa

Napenda kutumia Muda huu kumpongeza mwanahabari na kipenzi cha wengi Grace Kihampa kwa kutimiza miaka kadhaa leo.

Mungu akubariki akulinde na kukufikisha mbali zaidi katika tasnia hii ya habari hakika unastahili pongezi.

Usimuliaji wako wa habari ni mfano wa kuigwa na wanahabari waliyo wengi hapa nchini wenye kupenda kujifunza.

Mungu aendelee kukung'arisha katika tasnia hii ya habari mpendwa wangu, kumbuka kumshukuru Mungu kwa kila jambo....

Mshukuru Mungu kwa kila jambo

Namshukuru Mungu kwa ajili yako wewe mdau wa blog ya mapreciouswaukweli.blogspot.com nakupenda sana.

Wewe ni mdau wangu wa nguvu kutendo cha kutumia Muda wako kutembelea blog hii ni upendo wa pekee.

Napenda kutumia Muda huu kukushukuru na kumshukuru Mungu kwa ajili yako wewe mdau.

Namshukuru Mungu kwa kuwa hai mpaka leo hii na kunipa hekima ya kutumia mtandao kuelimisha jamii kuhusu masuala mbalimbali.

Naimani na wewe una Mengi ya kumshukuru Mungu kwa ajili yako tumia Muda huu kurudishia mungu sifa na utukufu.

Kutendo cha kukupa mtu unayempenda na manaishi kwa furaha unapaswa kumshukuru kwa Hilo.

Tuesday, June 21, 2016

Kupendeza kwa mwenza wako hakuna umri wala cheo

Namshukuru Mungu kwa ajili yako wewe mdau wangu wa nguvu, unaendelea kutembelea blog yangu  ya mapreciouswaukweli.blogspot.com na kujifunza mambo Mengi ya kujenga familia bora na mahusiano kwa ujumla.

Hakika katika maisha ya kawaida kila mtu anapenda kumtanzama mtu aliye pendeza tena mwingine humsindikiza kwa macho hadi anapoishia wengine huanza safari ya kumfatilia mtu huyo hadi mwisho.

Usishangae Inawezekana wewe ujawahi kukutana na kasumba hiyo ila tembea uone Mengi.

Wahenga walisema kua uyaone siyo majengo hapana Kuna watu wanajipenda chini yajua ukiwaona unaweza ukadhani malaika.

Suala la kujipenda wengine ni hulka lakini siyo hulka mbaya ni nzuri hata wewe unaweza kwanza kuitumia ili kujenga familia bora yenye afya inayojipenda.
 
Mtu anayejipenda hawezi kufanya ngono ovyo wala na mtu asiyemjua vizuri, hivyo unadhifu huo utakuepusha na Mengi yakiwemo maradhi ya zinaa na Ukimwi. 

Hii siyo kwa wanawake tu hata wanaume wanapaswa kujifunza kwa kuanzia mwilini mwao, mavazi hadi katika malazi.

Inawezekana unakimbiwa mtu unaye fikiria anaweza kuwa mke au mme kila siku wewe unalia kwenye mapenzi unajiuliza Pengine wewe hujui kupenda nini kumbe tatizo ni hulka yako ya uchafu.

Nguo zenyewe unavaa ilimradi tu umevaa alafu unajiuliza kwanini wewe hausifiwi kama wengine kuwa umependeza?  Badilika usivae nguo za aina moja.

Tatizo siyo sura tatizo mwonekano wako hauridhishi na jasho nalo unanuka embu nusu kwapa lako, unalisikiaje vipi kwa mtu mwingine anaweza kustahimili.

Kujipenda hakuchagui umri wala cheo umaridadi uficha umasikini jipende kabla ya kupendwa na mtu mwingine.

Kwa leo naomba niishie hapa nawapongeza wale wote ambao umri umeenda na bado wanajipenda.

Endelea kutembelea mapreciouswaukweli.blogspot.com kwa ubunifu zaidi,uokoe familia yako na nyumba yako kwa ujumla.