KARIBU TENA

KARIBU TENA

Wednesday, August 17, 2016

Sunday, July 3, 2016

Ofa Ofa Ofa jipatie nywele original kwa bei nafuu

Karibu ujipatie nywele original Indian hear woman ni lain kama nywele zako, ni mzuri mno, zinasetika unaweza kupasi na hata kubadili rangi uipendayo wewe mwenyewe inchi 8, sh. 105, 000,inchi 10 sh.115, 000 inchi 12 sh. 135,000 inchi 14 sh. 155,000 zangi zilizopo ni Brown na Block 0754818847 karibu hii ni Ofa maluum ya sikuku wahi sasa maana siku ni chache. 

Ofa hii ni kwa ajili ya wanawake wote wanaojipenda na wanapenda vitu vizuri.

Nywele hii ni nzuri ajabu yaani ukishonea hakuna anayeweza kutambua kama siyo nywele yako kila mtu nzima akupongeze.

Tunapatikana makuburi karibu kanisa katoliki waslina nasi upendeze.

Monday, June 27, 2016

Mleye mtoto katika njia impasayo naye ataiacha hata uzeeni

Nashukuru Mungu kwa utukufu wake maana ni wengi walitamani kufika Muda huu lakini hajafika.

Wengine ni watoto wadogo, vijana na wazee tuliyowategemea kutupa ushauri katika masuala mbalimbali lakini Mungu amewapenda zaidi.

Inawezekana ni mama mjamzito amepoteza mtoto wake baada ya kujifungua yote tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kuwa kazi yake haina makosa.

Kutokana na ugumu wa maisha baadhi ya wazazi wamejikuta wakishindwa kutimiza wajibu wao kwa watoto wao na kuwaachia watu wengine au kwa lugha nyingine walimwengu.

Mtoto wa mwezio ni mwanao siyo wote wanaozingatia kauli hii na kuifanyia kazi, wengine huitumia kinyume.

Najua wewe mama na baba uko busy kuwatafutia watoto wako maisha bora Anza sasa kutenga Muda wa kukaa na kumsikiliza mwanao, nini anataka nini hataki amekutana na shida gani kisha msaidie kwa kumpa njia sahihi ya kupita ili kutimiza ndoto yake.

Kwa kufanya hivi unajua Mengi anayokutana nayo, Mimi hapendi kumwambia mwanangu usimtendee mwezako ubaya maana Mungu hapendi, wengi wanaotenda mabaya ni watoto wa shetani.

Nimekuwa nikimfundisha mambo kadhaa na kuruhusu kuniuliza maswali kadhaa na la msingi husisitiza kushirikishana Mungu katika kila jambo analota kulifanya maishani mwake. 

Huu ni msingi mzuri naamini hata wewe ukifanya hivyo utakuwa na watoto wema wacha Mungu.

Nakushukuru wewe mzazi mwema unapitia makala hii ubarikiwe sana na Mungu akulindie watoto wako, kumbuka watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu itunze na kuipenda.